Naomba kuuliza kuhusu mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria

Naomba kuuliza kuhusu mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria

Gota8s

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
201
Reaction score
190
Habari za majukumu wakuu,
Natanguliza samahani kwa usumbufu.

Naomba kuuliza kuwa, kwa wale vijana waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo kwenye kambi za JKT, inaruhusiwa kutoa udhuru na kuripoti kambi tofauti na uliyopangwa? Na je, ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, kuna taratibu zozote ambazo lazima zifuatwe?

Nawasilisha.

Naomba tafadhali mwenye uelewa na suala hili anisaidie kimawazo maana niko njiapanda mwenzenu.
 
Mbona ktk bajeti ya mwaka huu nilimsikia waziri wa ulinzi ana lalamika kuwa wanaochaguliwa wengi hawaendi ndio maana wanapendekeza waanze kutumia vijana waiomaliza form 4!!kwani wanachaguliwa vijana 60,000 wanaolipoti makambini ni 40,000!''nadhani watu wanaamua kukacha tu
 
Kama mlemavu unayofursa ya kuomba ubadilishwe,Mara nyingi huwa wanapelekwa Ruvu Jkt.
 
na jee sheria inasema nini kwa wasioenda kwenye hayo mafunzo
 
Habari za majukumu wakuu,
Natanguliza samahani kwa usumbufu.

Naomba kuuliza kuwa, kwa wale vijana waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo kwenye kambi za JKT, inaruhusiwa kutoa udhuru na kuripoti kambi tofauti na uliyopangwa? Na je, ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, kuna taratibu zozote ambazo lazima zifuatwe?

Nawasilisha.

Naomba tafadhali mwenye uelewa na suala hili anisaidie kimawazo maana niko njiapanda mwenzenu.


Asaidiwe tafadhali.


Nami naomba kujua wanatakiwa kwenda kujiunga kwa mujibu wa sheria wanatakiwa kwenda na vifaa gani?
Je yupo aliyepata joining instructions?
 
Habari za majukumu wakuu,
Natanguliza samahani kwa usumbufu.

Naomba kuuliza kuwa, kwa wale vijana waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo kwenye kambi za JKT, inaruhusiwa kutoa udhuru na kuripoti kambi tofauti na uliyopangwa? Na je, ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, kuna taratibu zozote ambazo lazima zifuatwe?

Nawasilisha.

Naomba tafadhali mwenye uelewa na suala hili anisaidie kimawazo maana niko njiapanda mwenzenu.
Lipoti kambi yoyote hawakatai kuna kijana mmoja akuchaguliwa ila alijipeleka hawakukataa
 
kwa uzoefu nilioupata kwa kuwasaidia wanafunzi wengi kufanya maombi ya mikopo ya elimu ya juu pamoja zoezi la uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa, vifo na zoezi zima la udahili wa vyuo mbalimbali nchini kwa wanafunzi wengi wa kidato cha sita ni vizuri uwe umehakiki cheti cha kuzaliwa au cha kifo kama mzazi au wazazi wote wawili wamefariki uwe na vyeti vyao vifo kabla hujaenda JKT maana muda unakuwa ni mchache sana.

Huu ni ushauri tu kwa wale ambao wanajua hawana mtu sahihi wa kufuatilia zoezi la uhakiki au kutengeneza cheti cha kuzaliwa au kifo kama hauna ulikuwa unatumia AVIDAVIT. Kwa sheria na mambo muhimu ya kufanya ili uweze kuomba mkopo wa elimu ya juu ni lazima kwanza uwe na cheti cha kuzaliwa kisicho na makosa ya majina ambayo yanatofautiana na vyeti vyako vya taaluma, kama hauna mzazi mmoja au wote wawili hakikisha una vyeti vyao vifo na uvihakiki mapema.

ni rahisi sana maana ukifanya hivyo utampunguzia mzigo unayemwachia mausala yako ya maombi ya mkopo vinginevyo unawezajikuta mkopo hujaomba na ukizangatia na familia haina uwezo kukusomesha ukabaki tu nyumbani bila kwenda chuo kwa sababu ambazo ungweza kutatua kabla ya kuondoka kwenda JKT.

Tatizo hili huwa linawakumba wengi wanaoondoka kwenda JKT bila kufanya chochote au kutoa maagizo kwa familia nini wafuatilie ili afanikishe zoezi la uhakiki wa vyeti, maombi ya mkopo wa elimu ya juu pamoja udahili wa vyuo.

lakini pia kama upo Dar es Salaam na unaenda JKT tafadhali tuwasiliane nikupe utaratibu rahisi kutoka ofisini kwetu na nini huwa tunafanya na kuwashauri wanafunzi wote wanaoondoka kwenda JKT nini waachie familia na familia kazi yake itabaki kuja kulipia tu kazi au hatua ambayo inakamilika kwa mwanafunzi husika iwe ni uhakiki wa cheti, maombi ya mkopo wa Elimu ya juu au udahili wa chuo, na ikumbukwe kuwa hatuchukui fedha ya mtu bila kufanya kazi yake na kujiridhisha ndipo analipia fedha yake.

kwa wale ambao watakuwa tayari wafike STEVE STATINERY, Banana Airwing Dar es Salaam utaelekezwa na kupewa fomu yenye taarifa muhimu zinazotakiwa kufanyiwa kazi wakati wa uhakiki, Maombi ya Mkopo wa Elimu ya Juu pamoja udahili wa vyuo unaijaza mwenyewe na kuiacha ofisini kwetu, kisha wewe tunakupa mawasiliano yetu lakini pia na wewe unatuachia mawasiliano ya mtu ambaye atakuwa anapewa taarifa na kushughulikia mahitaji muhimu wakati wa zoezi zima.

ofisi yetu haijisifu au kujipigia Promo ila kama unataka kujiridhisha muulize mwalimu yeyote anayefunsisha shule ya Sekondari Airwing, Mkuu wa shule hiyo au Mwanafunzi yoyote aliyemaliza Shule ya Airwing Sekondari anasoma sasa chuo chochote nchini anatufahamu vizuri na wengi wao wanaotuamini na kuzingatia maelekezo tunayowapa wanafanikiwa sana.

STEVE STATINERY KWA MSETI
BANANA, AIRWING DAR ES SALAAM (TUNATAZAMANA NA AIRWING SEKONDARI)
MAWASILIANO: 0718 949 844 au E-mail: stephenmseti@gmail.com
 
Pia wajiandae kuingizwa kwenye vikabati flani venye moshi na mvuke mkali wakiambiwa wanajifukiza tena wataingia kwa mafungu.
 
Back
Top Bottom