Naomba kuuliza kwa anayefahamu

Naomba kuuliza kwa anayefahamu

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
553
Kuna kampuni moja ilikuaga na ofisi Ubungo mawasiliano ila baadae walihamia Tegeta, shughuli yao ilikua ni kukopesha pesa kwa dhamana ya bidhaa za kielektroniki kama TV, Radio, Fridge au Simu.

Nilisikia walihamia Tegeta ila kwa bahati mbaya kwasasa sina mawasiliano yao, yoyote ambae anawafahamu naomba anasaidie namna ambayo naweza kupata namba zao za simu pia kama kuna kampuni nyingine yoyote inayofanya kazi kama hawa jamaa pia nitashukuru nikielekezwa au kupatiwa namba zao za simu.

Ahsante
 
Back
Top Bottom