Ila humu kuna uzi wake ukiutafuta utaupata wameelezea mengi kuhusu hizo kituNa mm nimetamani kuagiza, ila nikawa na wasisiwasi na bidhaa hizo, nikihisi labda unaweza ukaagiza kitu hiki ukaletewa kingine, au kibovu au usiletewee kabisaa
Na mm niwasubri wazoefu waje
Na mm nimetamani kuagiza, ila nikawa na wasisiwasi na bidhaa hizo, nikihisi labda unaweza ukaagiza kitu hiki ukaletewa kingine, au kibovu au usiletewee kabisaa
Na mm niwasubri wazoefu waje
Mimi huwa naagiza aliexpress mara jibao, sijawahi kukosa kupata kitu changu,Na mm nimetamani kuagiza, ila nikawa na wasisiwasi na bidhaa hizo, nikihisi labda unaweza ukaagiza kitu hiki ukaletewa kingine, au kibovu au usiletewee kabisaa
Na mm niwasubri wazoefu waje