Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu wa kuagiza vitu kwenye mitandao hasa ebay,namna gani wanafanya hadi kufanikiwa kuupata mzigo

Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu wa kuagiza vitu kwenye mitandao hasa ebay,namna gani wanafanya hadi kufanikiwa kuupata mzigo

Under 18

Member
Joined
Feb 28, 2019
Posts
27
Reaction score
35
Habar wadau.
Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu wa kuagiza vitu kwenye mitandao hasa ebay,namna gani wanafanya hadi kufanikiwa kuupata mzigo,njia ya kulipia,pa kwenda kuchukulia na kodi zake.
Maana kuna bidhaa nyingi sana naona zinapatikana kwa price nzuri tu.
Thanks in advance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufupi... Namna ya kulipia unatakiwa uwe na akaunti ya bank ambayo imeunganishwa na mfumo wa kadi ya visa au mastercard.
Kisha unatakiwa uwe na sanduku la barua. Kuhusu kodi wanakata kutokana na thamani ya bidhaa uliyonunua ila sina hakika wanaka asilmia ngapi... Ni hayo tu ninayo ya fahamu kwa uchache ngoja wajuvi waje watoe nondo zaidi.

Love and peace
 
Na mm nimetamani kuagiza, ila nikawa na wasisiwasi na bidhaa hizo, nikihisi labda unaweza ukaagiza kitu hiki ukaletewa kingine, au kibovu au usiletewee kabisaa

Na mm niwasubri wazoefu waje
 
Na mm nimetamani kuagiza, ila nikawa na wasisiwasi na bidhaa hizo, nikihisi labda unaweza ukaagiza kitu hiki ukaletewa kingine, au kibovu au usiletewee kabisaa

Na mm niwasubri wazoefu waje
Ila humu kuna uzi wake ukiutafuta utaupata wameelezea mengi kuhusu hizo kitu

Love and peace
 
Na mm nimetamani kuagiza, ila nikawa na wasisiwasi na bidhaa hizo, nikihisi labda unaweza ukaagiza kitu hiki ukaletewa kingine, au kibovu au usiletewee kabisaa

Na mm niwasubri wazoefu waje

Mchaga mwenzangu tena mrombo mwenzangu (kuna watu nawaona wanavyo chukia hahahah)

Kununua vitu ebay, amazon au ali baba ni kitu cha kawaida na kama ukiagiza ukaletewa sicho unaweza rudisha ukaletewa halisi

Kuna uzi mzuri na mashuhuru kuhusu online purchasing utafute utajua kila kitu
 
ebay sio kupatana kule ni 99% uaminifu na sio ebay pekee hata Ali express n.k, hii simu nayotumia kwa sasa niliagiza ebay
 
Mbona mada za manunuzi mtandaoni zipo nyingi sana humu... Na zimeelezwa kwa ufasaha na kujadiliwa kwa kina.. Tafuta ujisomee.
 
Na mm nimetamani kuagiza, ila nikawa na wasisiwasi na bidhaa hizo, nikihisi labda unaweza ukaagiza kitu hiki ukaletewa kingine, au kibovu au usiletewee kabisaa

Na mm niwasubri wazoefu waje
Mimi huwa naagiza aliexpress mara jibao, sijawahi kukosa kupata kitu changu,
 
Sio lazima uwe na acc benki unaweza lipia kupitia mpesa Master card [emoji108][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom