Complicator EM
Senior Member
- Dec 20, 2011
- 155
- 39
Wadau naombeni kuuliza hivi ni kweli kila mwenye magonjwa ya zinaa ana HIV/UKIMWI?
Au unapogundua umeambukizwa magonjwa ya zinaa ni lazima umeambukizwa na Ukimwi?
Nimeuliza hivi kwani mara nyingi nimeona marafiki zangu wawili wameenda zahanati wamekutwa wana magonjwa ya zinaa lkn Dakitari kawashauri eti ni vizuri wapime na HIV. Ln wote wamegoma. Niwape ushauri gai hawa?