Ha ha ha ha! Mkuu !Eleza kwanza gari ni aina gani? Ina cc ngapi na umbali kutoka kazini kwenda nyumbani ni km ngapi?
Mambo ya kusema gari binafsi, la kawaida au nauli ya daladala sh 1000 yote hayo hayawezi kusaidia kufanya makadirio.
Sawa na kusema, ikiwa mtoto wa Ng'ombe anaitwa Ndama, je mtoto wa sungura anaitwaje?
Toyota istEleza kwanza gari ni aina gani? Ina cc ngapi na umbali kutoka kazini kwenda nyumbani ni km ngapi?
Mambo ya kusema gari binafsi, la kawaida au nauli ya daladala sh 1000 yote hayo hayawezi kusaidia kufanya makadirio.
Sawa na kusema, ikiwa mtoto wa Ng'ombe anaitwa Ndama, je mtoto wa sungura anaitwaje?
Gari aina gani Mkuu?Kilometa 10 mkuu
Ok hapo kwenda na kurudi kadiria 4500..so kwa Siku utatumia 4500Kilometa 10 mkuu
Km 20 @ litaToyota ist
km kama 13 hv
Okay, Mimi nitakupa experience yangu kwa kutumia Toyota Passo, mind you ilikuwa na 900cc sio kama ist 1300cc...Kilometa 10 mkuu
Oooh thanks boss so kama mm wa km 13. Mkuu per day gar kama hyo yako ya buku 4 kwenda na kurudi s ndo yatatoshea kbs?Okay, Mimi nitakupa experience yangu kwa kutumia Toyota Passo, mind you ilikuwa na 900cc sio kama ist 1300cc...
Umbali kwenda ilikuwa 24km na hapo lilikuwa linarudi home 24km again alafu linanirudia tena 24km.... So in short 94km per day. Hii ilikuwa constant 5 days. Hapo tulikuwa tunaweka mafuta ya 30k. Na bado weekend linapiga trip za 9km. After 7 days ndo inawaka taa.
In short ili gari tamu sana. Ukiweka full tank unapiga wiki mbili + kwa hizo km 10 zako. Tho inategemea sana na uendeshaji, acceleration, speed, stopping starting frequency. Binafsi naaccelerate polepole sana, speed ikizidi 60kmph, kusimama simama sana sana ilikuwa asubuhi kwenye foleni. But jioni ni kuslide tu. Hapo full AC, joto nilikuwa nasikia kwa washikaji waliokuwa wanatumia Toyota Crown wakati hawana hela za mafuta.
Nimekupa idea flani.
-callmeGhost