Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaa haa[emoji120]Eleza kwanza gari ni aina gani? Ina cc ngapi na umbali kutoka kazini kwenda nyumbani ni km ngapi?
Mambo ya kusema gari binafsi, la kawaida au nauli ya daladala sh 1000 yote hayo hayawezi kusaidia kufanya makadirio.
Sawa na kusema, ikiwa mtoto wa Ng'ombe anaitwa Ndama, je mtoto wa sungura anaitwaje?