Naomba kuuliza matumizi ya gari ya kawaida kuhusu mafuta per day

Me natembea Average Km 55 per day go n return kwenda posta nakurudi
Natumia 10,000 kwa ajili ya mafuta kila siku including foleni ya Salender na Palm Beach asubuhi na jioni..
For Both IST N PASSO...
 
Haaa haa[emoji120]
 
Jamani muambieni aendelee kutumia daladala, Aache tabia za kimaskini kuanza kuulizia costs za mafuta. Unadhania ghalama yà gari ni kununua hapana ni kuliendesha mkuu. Chagua moja kama unataka gari nunua, kama shida mafuta nunua bodaboda
 
watu wanataka gari ambazo hazinywi mafuta. huwa sielew idea hii inakuaje. basi watafute gari zinazokunywa maji....
 
Kwa gari yenye cc 660-1200 matumiz ya mafuta kwa mtu unayeenda kilometa 15 kwenda na km 15 kurudi yakoje gari kama vitz new model
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…