Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara za sinza ndio zipi mkuuKama una-location nzuri fanya biashara za sinza usiku wa manane.
Mkuu hizo karanga unauzaje, fafanua kidogo, na Wateja wako ni watu gani?Wazo lako ni nzuri na sikupingi, ila kwa ushauri wangu kama unataka kufanya kitu endelevu na cha manufaa ya mda mrefu... jifunze kuanza kwa kupata hamna kwanza halafu ndio uanze kukokotoa hesabu ya hamna hadi faida ya asilimia hamsin hadi Sabini shida kubwa watu wengi tunataka kufanya kitu chenye kuanza na faida hapo hapo. Au uanzishe kitu cha kuuzika nusu mzigo siku ya kwanza au kufungua duka la kujaza wateja siku ya kwanza.... ukweli ni huu, hata kama bidhaa inauzika vipi na inatoka kwa speed kubwa kwa watu wengine. Ni ngumu sana kwako kutoka hivyo kwa siku ya kwanza kwako wewe ambaye ni mgeni kuuza. Hivyo jifunze kuwa mvumilivu.
Mfano wangu ni kuwa. Mimi nilianza kwa kuuza karanga kilo tano kwa miezi mitatu, na ilifikia hatua hadi inabidi mwenye duka aanze kuzitumia mwenyewe... na ilifikia mahali hadi sehem wanachukua mzigo lakini nikipita baada ya miezi miwili nakuta mzigo haujatoka Yaani naondoka bila kuaga. Lakini leo mwezi wa kumi nauza kilo hamsini kwa wiki Yaani oda zinanizidi lakini haikuwa rahisi
Arafu ni Karanga gani mbichi,kukaanga au za mayaiMkuu hizo karanga unauzaje, fafanua kidogo, na Wateja wako ni watu gani?
Mtaji mdogo wa bei gan mf. Mm ukiniambia mtaji mdogo najua ni mil 5Ni biashara ipi wataalam nisaidieni.
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]Mtaji mdogo wa bei gan mf. Mm ukiniambia mtaji mdogo najua ni mil 5
Umeongea bonge la point aisee bg upWazo lako ni nzuri na sikupingi, ila kwa ushauri wangu kama unataka kufanya kitu endelevu na cha manufaa ya mda mrefu... jifunze kuanza kwa kupata hamna kwanza halafu ndio uanze kukokotoa hesabu ya hamna hadi faida ya asilimia hamsin hadi Sabini shida kubwa watu wengi tunataka kufanya kitu chenye kuanza na faida hapo hapo. Au uanzishe kitu cha kuuzika nusu mzigo siku ya kwanza au kufungua duka la kujaza wateja siku ya kwanza.... ukweli ni huu, hata kama bidhaa inauzika vipi na inatoka kwa speed kubwa kwa watu wengine. Ni ngumu sana kwako kutoka hivyo kwa siku ya kwanza kwako wewe ambaye ni mgeni kuuza. Hivyo jifunze kuwa mvumilivu.
Mfano wangu ni kuwa. Mimi nilianza kwa kuuza karanga kilo tano kwa miezi mitatu, na ilifikia hatua hadi inabidi mwenye duka aanze kuzitumia mwenyewe... na ilifikia mahali hadi sehem wanachukua mzigo lakini nikipita baada ya miezi miwili nakuta mzigo haujatoka Yaani naondoka bila kuaga. Lakini leo mwezi wa kumi nauza kilo hamsini kwa wiki Yaani oda zinanizidi lakini haikuwa rahisi