Naomba kuuliza swali kwenu mawakala wa mitandao ya simu

Naomba kuuliza swali kwenu mawakala wa mitandao ya simu

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa.

Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala.

Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je inawezekana?
 
Back
Top Bottom