Naomba kuuliza tafadhali

Naomba kuuliza tafadhali

David Mgeni

Senior Member
Joined
Aug 4, 2020
Posts
104
Reaction score
138
Wakuu kwema samahani naomba kuuliza kuna vifaa vya michezo huwa vinakanywaga miguuni unavicontrol kwa miguu miwili vina matairi mawili ni kama skate board lakini vinatofautiana kwa anaevijua naomba jina lake rasmi la kiingereza na picha pia
 
Mkuu una agiza nini ila ngalia usije ukang'oa meno ukubwani
 
Walikuwa wanayavaa vijana wa hapo jangwani hadi manzese na walikuwa wanachomoka na pochi za akina mama na simu,

sijui kwa sasa kama bado wapo
 
Back
Top Bottom