Naomba kuuliza tire pressure gauge inauzwa wapi na kiasi gani

ABBY HAMZA

Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
66
Reaction score
34
Habari, naomba kuuliza hiyo kitu hapo inapatikana wapi kwa bongo na inauzwa pesa ngapi pia brand ipi ni nzuri zaidi?
 
Jaribu game pale mlimani city nlishawahi kuziona pale ila bei na brand sikumbuki
 
Kuna duka moja lipo maeneo ya kiwanda cha cocacola huku ni duka kubwa sana. Utapata na bei zao zipo vizuri sana.
 
Habari, naomba kuuliza hiyo kitu hapo inapatikana wapi kwa bongo na inauzwa pesa ngapi pia brand ipi ni nzuri zaidi?
efc46ee3ddf5d8142e009af6ac57b6de.jpg

Kama unataka aina hii nilinunua ebay $3 Mwaka wa pili huu, ni ya Kichina haina brand name yeyote.
 
Back
Top Bottom