Ozzanne Issakwisa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 288
- 241
Subiri mlo uliobaki mkuu.Hivi Inafaa Kukaa Mda Gani Kwa Jirani Baada ya kula Ndio Uondoke Ili usionekane Ulifuata Msosi!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri mlo uliobaki mkuu.Hivi Inafaa Kukaa Mda Gani Kwa Jirani Baada ya kula Ndio Uondoke Ili usionekane Ulifuata Msosi!???
Wasipomkaribisha na wakamtakia safari njema.....kwake itakuwa njema kweli?Ukiona chakula kimekaribia kuiva aaga , watakwambia subiri chakula ukimakiza kula tu una nawa unaondoka , hapo hautaonekana ulifuata msosi