Naomba kuuliza upatikanaji wa ajira za mortually attendant

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Wakuu habari

Leo nimeona Tangazo chuo cha Bugando wanatarajia kutoa mafunzo ya mortually attendant

Nauliza vipi upatikanaji wake wa ajira kwa anayefahamu atujuze
 
Huwa Hawatangazi Isipokuwa Ni Mumo Kwa Mumo Hospital
 
Sijaelewa mortually ndio nn tena?
 
kijana unataka connection ya mortuary ?
 
Kuna jamaa angu mmoja yupo pale hospital ya tukuyu [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa yupogo tungi muda wote na mayenu yake safi, mtafute akuambie alifanya usaili lini
 
Kuna jamaa angu mmoja yupo pale hospital ya tukuyu [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa yupogo tungi muda wote na mayenu yake safi, mtafute akuambie alifanya usaili lini
Aise huyo jamaa kuna siku ilitokea ajali sehemu flani akufa mtu mmoja ila yule mtu alikatikA kichwa kikatoka mazima watu wakatafuta kichwa bila mafanikio,huyo jamaa kaja kiwilwili kilitangulia kule mortuary.akatafuta nayeye kwajuhud akakipata kile kichwa akaweka kwenye kifungashio akapitia mgahawa akaagiza chai.bwana we yule mhudumu akamhoji umeweka nn humo yule jamaa si kamuonesha yule bint akazimia palepale
 
huyo jamaa kavu sana 🀣🀣🀣🀣🀣
 
jamaa ana roho ngumu zaidi ya mwanajeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…