Naomba kuuliza vijana wenzangu kati ya kilimo na kubeti bora nini?

Naona itabidi nifanye research yakutosha kisha niandae Uzi mwingine kwenye hili suala la kufanya vizu ambavyo odds are not stuck against us kiongozi.
 
Unazungumzia kwenye nini itakua imeisha hiyo 150,000/= kwenye kilimo au kubeti?
Huweze wekeza kwenye kubeti na mtaji ukabaki. Utaliwa tu na kuisha sababu ya mfumo wa betting ulivyo. Kubeti ni burudani, starehe tu. Fun ya kunogesha mchezo.
 
Aisee pole sana .. shida hapo ilikua risk management boss betting inahitaji risk management ukijilipua kama hivyo make sure uwe na comeback au una backup au plan B usipo fanya hivyo utaishia kuwa chizi[emoji23]
 
Huweze wekeza kwenye kubeti na mtaji ukabaki. Utaliwa tu na kuisha sababu ya mfumo wa betting ulivyo. Kubeti ni burudani, starehe tu. Fun ya kunogesha mchezo.
Ushauri mzuri kubeti ni burudani boss tusiwe serious sana [emoji23][emoji23]
 
Reactions: Tsh
Oya eh msichukulie pw kilimo...june mwaka jana nmeuza kiroba(mpunga kg 90) 190k...

Halafu chaka nlitoka na vinjunga kama 195 hivi halafu nililima ekari 5 tu....na saiz nko chaka kama kawa
 
Oya eh msichukulie pw kilimo...june mwaka jana nmeuza kiroba(mpunga kg 90) 190k...

Halafu chaka nlitoka na vinjunga kama 195 hivi halafu nililima ekari 5 tu....na saiz nko chaka kama kawa
Sawa weka hesabu zote hapa uliingia na shilingi ngapi kwenye mpunga na jumla ya gharama mpaka kuvuna tuelewe mkuu .
 
Sawa weka hesabu zote hapa uliingia na shilingi ngapi kwenye mpunga na jumla ya gharama mpaka kuvuna tuelewe mkuu .
Wastani hekari 1 ni mil 1.5
Na tokea nimeanza kulima mwaka jana ndio nmeiona faida ya mpunga....
Na hii ni process mkuu haiji kama bahati....nlianza na hekari 1 mpaka leo nna hekta 4..
 
Tatizo hujatumia akili kufikiri, wewe umepeleka mada kwenye kubet.
Mi nimesema kila kitu ni kamari
 
Endapo kubet kosa Wakamatwe Sheria ifate mkondo wake ,kwani wanaocheza hawalipi kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…