Naomba kuuliza vijana wenzangu kati ya kilimo na kubeti bora nini?

Naomba kuuliza vijana wenzangu kati ya kilimo na kubeti bora nini?

Kama unategema mvua ambazo hazitabiriki (odds are stuck against you) unless unamwagilizia au kuna vyanzo vya maji karibu...

Kama unategemea soko ambalo halina uhakika yaani wenzako wasilime au mavuno yakiwa mengi unakosa soko (hauna soko la uhakika) the odds are stuck are against you
Naona itabidi nifanye research yakutosha kisha niandae Uzi mwingine kwenye hili suala la kufanya vizu ambavyo odds are not stuck against us kiongozi.
 
Unazungumzia kwenye nini itakua imeisha hiyo 150,000/= kwenye kilimo au kubeti?
Huweze wekeza kwenye kubeti na mtaji ukabaki. Utaliwa tu na kuisha sababu ya mfumo wa betting ulivyo. Kubeti ni burudani, starehe tu. Fun ya kunogesha mchezo.
 
Mkuu nimebeti sana kati ya 2015 hadi 2020 lkn siku ambayo niliacha rasmi kubeti nilipoteza £3500 baada ya kumpa Liverpool Handicap ya -1 kwenye live game zidi ya Watford kwa odd ya 1.6. Hapa ni baada ya kujipa matumaini kuwa Liverpool yupo kwenye fomu lkn bahati mbaya Liverpool alikula kamba 3 kwa 0. Tangia hapo sijabeti tena na tangia hapo sikuta kurudisha hasara ya zaidi ya £7000 nilizopoteza kiujumla.
Aisee pole sana .. shida hapo ilikua risk management boss betting inahitaji risk management ukijilipua kama hivyo make sure uwe na comeback au una backup au plan B usipo fanya hivyo utaishia kuwa chizi[emoji23]
 
Huweze wekeza kwenye kubeti na mtaji ukabaki. Utaliwa tu na kuisha sababu ya mfumo wa betting ulivyo. Kubeti ni burudani, starehe tu. Fun ya kunogesha mchezo.
Ushauri mzuri kubeti ni burudani boss tusiwe serious sana [emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Oya eh msichukulie pw kilimo...june mwaka jana nmeuza kiroba(mpunga kg 90) 190k...

Halafu chaka nlitoka na vinjunga kama 195 hivi halafu nililima ekari 5 tu....na saiz nko chaka kama kawa
 
Oya eh msichukulie pw kilimo...june mwaka jana nmeuza kiroba(mpunga kg 90) 190k...

Halafu chaka nlitoka na vinjunga kama 195 hivi halafu nililima ekari 5 tu....na saiz nko chaka kama kawa
Sawa weka hesabu zote hapa uliingia na shilingi ngapi kwenye mpunga na jumla ya gharama mpaka kuvuna tuelewe mkuu .
 
Sawa weka hesabu zote hapa uliingia na shilingi ngapi kwenye mpunga na jumla ya gharama mpaka kuvuna tuelewe mkuu .
Wastani hekari 1 ni mil 1.5
Na tokea nimeanza kulima mwaka jana ndio nmeiona faida ya mpunga....
Na hii ni process mkuu haiji kama bahati....nlianza na hekari 1 mpaka leo nna hekta 4..
 
Yap, ila win to loose ratio ya mchezaji, kampuni na nchi ndo inayotofautisha betting ya kamari na betting ya uzalishaji.

Pesa za nchi ni zile zile tunabadilishana. Ww ukizipata kwa sababu ulibeti katika uchumi ni tofauti kabisa na aliyezipata kwa sababu alifyatua matofali.

Ukitaka kuona hili, hapo nyumbani kwako acheni kazi ya uzalishaji au huduma, chukua mtaji kazi yenu iwe kubeti tu.
Tatizo hujatumia akili kufikiri, wewe umepeleka mada kwenye kubet.
Mi nimesema kila kitu ni kamari
 
Endapo kubet kosa Wakamatwe Sheria ifate mkondo wake ,kwani wanaocheza hawalipi kodi
 
Back
Top Bottom