Wana wakubet wanapaswa wahifadhi comment yako hii mkuuBiashara yoyote ni kubeti. Kilimo pia ni kubeti. Ila kubeti inatakiwa uwe na umakini katika kuchambua mechi, na kuchagua bet za kuweka. Na uwe na subira. Usiwe na papara za kuweka mkeka mmoja mreeefu mpaka miguuni ukitegemea kutia jero ule milioni 200.
Nenda hatua kwa hatua. Betia mtandaoni. Mechi moja tu kila siku. Hela usitoe. Baada ya mwezi utayaona matunda.
Oya eh msichukulie pw kilimo...june mwaka jana nmeuza kiroba(mpunga kg 90) 190k...
Halafu chaka nlitoka na vinjunga kama 195 hivi halafu nililima ekari 5 tu....na saiz nko chaka kama kawa
Mkuu usijivishe ujuaji bado hujajua vyote kwenye hii nchi...Inamaana kila heka ulipata vinjunga 39? Unalima wapi huko? Alafu gunia la mpunga halijawahi kufika hiyo bei.
Halafu unakurupuka kusoma,.nimekwambia hbka 1 kulima ni 1.5mil..Inamaana kila heka ulipata vinjunga 39? Unalima wapi huko? Alafu gunia la mpunga halijawahi kufika hiyo bei.
Halafu unakurupuka kusoma,.nimekwambia hbka 1 kulima ni 1.5mil..Inamaana kila heka ulipata vinjunga 39? Unalima wapi huko? Alafu gunia la mpunga halijawahi kufika hiyo bei.
Halafu unakurupuka kusoma,.nimekwambia hbka 1 kulima ni 1.5mil..
Hapo pana mifuko 4 ya mbolea,halafu mbegu ni saro...mwekezaj shirikani anakutole njunga mpaka 45-48..
WEKEZA KWENYE KILIMO MKUU NI BIASHARA SIKU HIZI
Kamanda binafsi sibeti but ukisema kubeti ni upuuzi hpo utakuwa umekosea sana....kuna watu wanaendesha sehm ya maisha yao kwenye kubeti.....kiufupi kubeti ni mchezo Kama michezo mingne like playing pool table ,draft games and other games related...mila mtu anaendsha maisha yake kwa namna yy anavyoona japo kubeti ni mchezo hatariKubeti ni upuuzi. I would never advise anybody to bet not even a single day.
Good kama Kuna watu wanafanikisha kupitia betting lkn binafsi siwezi shauri mtu abeti mkuu.Kamanda binafsi sibeti but ukisema kubeti ni upuuzi hpo utakuwa umekosea sana....kuna watu wanaendesha sehm ya maisha yao kwenye kubeti.....kiufupi kubeti ni mchezo Kama michezo mingne like playing pool table ,draft games and other games related...mila mtu anaendsha maisha yake kwa namna yy anavyoona japo kubeti ni mchezo hatari
Unaishi wap kwan?Njunga ndio kiroba? Na kinakuwa kina debe ngapi? Gunia 45 kwa heka aaah jamaa acha uongo basi
Inafika chief ukikoboa Tena na zaidi mbona ,naifanya hii bizness naongea nachokijuaMwaka Jana June? 2022?? Bei ya mpunga kwa gunia ilikua 190,000??? Kawaongopee watu wajinga tu
Hata mwaka huu tunalia bei ya mchele imepanda lakini gunia la mpunga halijafika 190000
Tanzania hii bei ya gunia la mpunga halijawahi kufika 190,000. Wacha kabisa huo uongo wako. Labda useme gunia la mchele