Erick MR
Member
- Nov 11, 2022
- 77
- 159
- Thread starter
- #81
Wana wakubet wanapaswa wahifadhi comment yako hii mkuuBiashara yoyote ni kubeti. Kilimo pia ni kubeti. Ila kubeti inatakiwa uwe na umakini katika kuchambua mechi, na kuchagua bet za kuweka. Na uwe na subira. Usiwe na papara za kuweka mkeka mmoja mreeefu mpaka miguuni ukitegemea kutia jero ule milioni 200.
Nenda hatua kwa hatua. Betia mtandaoni. Mechi moja tu kila siku. Hela usitoe. Baada ya mwezi utayaona matunda.