HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Sio kilimo tu bali kila kitu duniani ni kamariKweli hata Kilimo chenyewe ni kubeti kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kilimo tu bali kila kitu duniani ni kamariKweli hata Kilimo chenyewe ni kubeti kiongozi
Mali ambayo mwisho wa siku unauza ili upate pesa kama za aliyebeti?Kubet si ajira.
ukilima unakuwa umefanya kazi ya uzalishaji mali..
Sawa naomba tujadili upande wa kilimo unaona kilimo kina assured result boss?Kubeti sio kazi boss, hakuna kazi ambayo chanses za kutengeneza faida kulinganisha na mwenye kampuni kuchukua mtaji wako ni 90:10.
Kila unapokula unapata pesa yako + a certain % ya pesa yako. Kadri % inavyokuwa kubwa ndivyo ugumu wa kupata unavyoongezeka maradufu.
Ila ukipoteza unapoteza 100% ya ulichowekeza.
Hii unaiitaje biashara?
Hapa una point boss kilimo kina vitu vingi Mpango -Mtaji -Kuanza -Kusimamia- kuvuna -Kutafuta soko -kuuza then ndio kupata pesa halafu kwenye kubeti Kuna kuandaa mkeka -kuweka dau -kusubiri ushindi . Tatizo walio shikilia kilimo hawatoi hoja zenye mashiko yani kilimo ni zaidi ya kubeti kiukweliMali ambayo mwisho wa siku unauza ili upate pesa kama za aliyebeti?
Yap, ila win to loose ratio ya mchezaji, kampuni na nchi ndo inayotofautisha betting ya kamari na betting ya uzalishaji.Sio kilimo tu bali kila kitu duniani ni kamari
Hakuna biashara ambayo ni 100% ila unaweza minimize risk ikawa chini sana. Mfano kuna wakulima(Wachache sana)wana chanzo cha maji, wana wataalam, wana workforce halafu mazao yao yana insurace. Sasa hii ni ngumu sana kwa mazingira yetu ila kufanya kwa kiwango unachoweza ni salama zaidi kuliko kubeti.Sawa naomba tujadili upande wa kilimo unaona kilimo kina assured result boss?
Mkuu siwezi kukushauri chochote kuhusiana na kilimo. Sijawahi kuwa mkulima ila betting na casino ni vitu ambayo siwezi kukushauri kujaribu hata siku moja.Sawa Boss what about kilimo ushauri wako ukoje ?
Sawa Boss mfano una 150,000/= ambayo ukiwekeza kwenye kilimo mfano cha Alizeti inategemea kuleta faida ya shilingi 1,200,000/= Baada ya miezi miwili yani siku 90 na ukichukua hiyo 150,000/= ukagawanya kwa mikeka ya buku unapata mikeka 150 kama ni mzuri wa kubeti ndani ya siku 90 kwa idadi hiyo ya mikeka inaweza tengeneza zaidi ya 1,200,000/= bila maji, usimamizi, masoko, mbolea ,mbegu Rasilimali watu n.kHakuna biashara ambayo ni 100% ila unaweza minimize risk ikawa chini sana. Mfano kuna wakulima(Wachache sana)wana chanzo cha maji, wana wataalam, wana workforce halafu mazao yao yana insurace. Sasa hii ni ngumu sana kwa mazingira yetu ila kufanya kwa kiwango unachoweza ni salama zaidi kuliko kubeti.
Mbona kama unapiga hesabu za matikiti [emoji3]Sawa Boss mfano una 150,000/= ambayo ukiwekeza kwenye kilimo mfano cha Alizeti inategemea kuleta faida ya shilingi 1,200,000/= Baada ya miezi miwili yani siku 90 na ukichukua hiyo 150,000/= ukagawanya kwa mikeka ya buku unapata mikeka 150 kama ni mzuri wa kubeti ndani ya siku 90 kwa idadi hiyo ya mikeka inaweza tengeneza zaidi ya 1,200,000/= bila maji, usimamizi, masoko, mbolea ,mbegu Rasilimali watu n.k
This has a lot of sense ila nivyema kwa faida ya wengi ukatoa na mfano tufanye nini ambacho odds huwa haziwi against us mkuu.Ukielewa maana ya Ku-beti utakuwa umeshajipa jibu...
Kubet ni kubahatisha haijalishi unalima, unafanya biashara au chochote kile..., kama unakifanya kwa kubahatisha hakuna cha nafuu hapo....
Jaribu kufanya vitu vya uhakika au ambavyo Odds are not Stuck Against you..., Huwezi ukalima kwa kutegemea mvua ambazo hazitabiriki wala wateja hujui kama mwaka kesho watakuwepo au bei zitashuka bila kuwa na plan 'B' ya Storage....
Kama unategema mvua ambazo hazitabiriki (odds are stuck against you) unless unamwagilizia au kuna vyanzo vya maji karibu...This has a lot of sense ila nivyema kwa faida ya wengi ukatoa na mfano tufanye nini ambacho odds huwa haziwi against us mkuu.
Haiwezekani. In 90 days, laki na nusu itakuwa imeisha.Sawa Boss mfano una 150,000/= ambayo ukiwekeza kwenye kilimo mfano cha Alizeti inategemea kuleta faida ya shilingi 1,200,000/= Baada ya miezi miwili yani siku 90 na ukichukua hiyo 150,000/= ukagawanya kwa mikeka ya buku unapata mikeka 150 kama ni mzuri wa kubeti ndani ya siku 90 kwa idadi hiyo ya mikeka inaweza tengeneza zaidi ya 1,200,000/= bila maji, usimamizi, masoko, mbolea ,mbegu Rasilimali watu n.k