Naomba kuuliza wanajf Kuna timu zimewahi kuweka kambi Tanzania???

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Naomba kujua je Kuna nchi za nje hata Africa zimewahi kuweka kambi Tanzania zaidi ya sisi utaskia Mara Misri mara Ugiriki Mara South Africa. Naomba msaada kwa mwenye kujua. Nawasilisha.
 
Vitendea kazi akuna angalia ile kambi ya Simba misri ndo utajua mbingu na aridhi
 
Chache sana aisee, kwanza kwa miundombinu ipi ya kimichezo
 
Vitalo ya Burundi ilishaweka, Bata Bullets ya Malawi nakumbuka, Nchanga Rangers ya Zambia waliweka pre season yao Mbeya miaka hiyoo. Kama umezaliwa 2000s huwezi jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…