Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Naomba kujua je Kuna nchi za nje hata Africa zimewahi kuweka kambi Tanzania zaidi ya sisi utaskia Mara Misri mara Ugiriki Mara South Africa. Naomba msaada kwa mwenye kujua. Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok nilikuwa siju mkuu nashkuru kwa taarfaTusker ya kenya
Somalia national teamNaomba kujua je Kuna nchi za nje hata Africa zimewahi kuweka kambi Tanzania zaidi ya sisi utaskia Mara Misri mara Ugiriki Mara South Africa. Naomba msaada kwa mwenye kujua. Nawasilisha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Somalia national team
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Somalia national team