Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Habarini za uzima leo nimewaza tu nkajiuliza
Huko nyuma sikuwa na vyu.Ba vya kupangisha..Bahati kuna madada zangu wawili niliwapangishia ubungo
Mwenye nyumba akawapa namba wakawa wanatuma badae akasafiri akasema atawatuma namba ya kutuma kodi
Tar zile zile mwezi ule ule ikatumwa msg mm mwenye nyu.Na naomba unitumie kodi kwenye namba hiiii
Maskini bahati mbaya nao wakatu a ka.A 1500000
Nikafwatilia nkajua wametapeliwa maana baadae jamaa alirudi akasema hajaampa mtu yoyote majjukumu ya kodi
Badae nkaanza kuwaza wanahusika na hawa wezi ama n kampuni za simu??Zinashiriki
Mwaka 2014 nikabahatika kujenga vyumba kadhaa hapa dar sehemu tofauti
Ajabu baada ya kuwapangisha 2019 yakantokea mm..Mpangaji anasema ameshalipa na katumiwa msg kuna mgonjwa inahitajika kodi tar n zile zile.Mwezi n ule ule
Kha ..Kilichonilinda kwenye mkataba niliandika pesa itatumwa kwenye namba hii xxxyyy tu si vinginevyo
Tukafika polisi wakaomba niwape wiki 2 kweli wakanilipa
Majuzi kati yamemkuta mpangajii mwingine tena
Alitakiwa kulipa 12 March, Binafsi nkaona kimya nkajua yamemkuta nimpe wiki ama kapitiwa
Nampigia leo anasema mbona ametuma na alipigiwa namba akambiwa mm baba mwenye nyumba yako na shida mwanangu amerudishwa ad
Dah nkamwambia soma mkataba dada pole umeibiwa naomba kodi yangu usintanie hapo asbh
Nkaona huyu nimuwahi serk za mtaa akapigiwa akaambiwa kodi ya hizo nyumba inalipwa na namba ya kwenye mkataba tu na mikataba yrnu yote naweka mhuri mm
Sad dada kapiga mda huu anaomba radhi amechanganyikiwa amewasiliana na kaka yake ameomba analipa kesho
Nkamwambia sawa muwe mnasoma
Mikataba inasaidia hio sio cdm utupe
Nje ya hapo kuna ambao wako smart feb tena maeneo ya kmr mwisho wakanipgia kaka una namba nyingine tumepigiwa na mtu anataka kodi ajabu namba sio yako nkamwambia tapeli huyo
Ukiangalia tar n zile zile mwezi n ule ule imagine kmr sehemu zaidi ya tatu wanataka kutapeli kwa wakati mmoja
Huko kwingine nako huyu kapigwa.
Najiuliza hawa wanapata wapi kujua tar hizi huyu anatakiwa kulipa kodi??Na mwezi n uleule?
Mwanzo sikuwa na vyumba nilihisi wenyenyumba wanashirikiana na matapeli..Kwa bafae yakanukuta naanza kuwaza sana sana kwenye hili shida iko wapi?
Inaumiza imagine wametapeliwa watoto wa chuo wanalipa kwa boom wengine wazazi wauze mbuzi
Hivi nyie mbwa hizi laana mnapeleka wapi anyway?