Andika vizuri mkuu ili ueleweke.AJABU BAADA YA KUWAPANGISHA 2019 YAKANTOKEA MM..MPANGAJI ANASEMA AMESHALIPA NA KATUMIWA MSG KUNA MGONJWA INAHITAJIKA KODI TAR N ZILE ZILE.MWEZI N ULE ULE
KHA ..KILICHONILINDA KWENYE MKATABA NILIANDIKA PESA ITATUMWA KWENYE NAMBA HII XXXYYY TU SI VINGINEVYO
TUKAFIKA POLISI WAKAOMBA NIWAPE WIKI 2 KWELI WAKANILIPA
MAJUZI KATI YAMEMKUTA MPANGAJII MWINGINE TENA
ALITAKIWA KULIPA 12 MARCH..BINAFSI NKAONA KIMYA NKAJUA YAMEMKUTA NIMPE WIKI AMA KAPITIWA
NAMPIGIA LEO ANASEMA MBONA AMETUMA NA ALIPIGIWA NAMBA AKAMBIWA MM BABA MWENYE NYUMBA YAKO NA SHIDA MWANANGU AMERUDISHWA AD
DAH NKAMWAMBIA SOMA MKATABA DADA POLE UMEIBIWA NAOMBA KODI YANGU USINTANIE HAPO ASBH
NKAONA HUYU NIMUWAHI SERK ZA MTAA AKAPIGIWA AKAAMBIWA KODI YA HIZO NYUMBA INALIPWA NA NAMBA YA KWENYE MKATABA TU NA MIKATABA YRNU YOTE NAWEKA MHURI MM
SamiaWanatuma sms randomly.
Ukizubaa wanapita na wewe
Yes yesSometimes madalali wanausika maana nao huaga na namba za wateja ivyo hufanya baati nasibu kwa kuwatext wapangajilwakujifanya wamiliki wanyumba
Mama....Juzi tar 15 mwezi huu mimi nilitumiwa sms ya mimi mwenye nyumba yako mbona hujanitumia hela ya kodi na bla bla kama zote. Nkasema huyu hanijui ngoja namim nimtapeli maana kajileta mwenyewe. Cmjui na hanijui. Nkamwingia na gia ya kumwambia kuwa mim sio mpanganji wake ila ni mwalimu mkuu wa shule ya mtoto wake akaniuliza mtoto yupi au ndo lucas nkasema huyo huyo hapo sasa nkapata nguvu za kuongea nae ckumpa nafasi aongee mimi hapo nikumwambia hata mda huu nilikuwa nataka kuwatuma nyumban wakafate hela ila kwa kuwa nimepata namba yako haina haja nimtume mtoto nyumbani. Si mzee wa watu akaniambia atanitumia hela jioni nami nkamwambia asinitumie mimi bali atume kwa mhasibu wa shule akasema namba yake hana cjui aliipoteza kitambo nami nkamwambia hata hivo yule mhasibu alishatoka kitambo tuna mwingne si nkamtumia namba yangu nyingne nae jioni akatuma 230k na utapeli wake wote anapga cmu cpokei mara ya mwisho jana tar 18 nikiangalia mpira wa yanga na konyag kwa hela yake alinambia bro umeshinda. Washenz hao n basi tu
Na hili ndilo swali najiuliza wanawaloga amaNimetoka kupokea meseji kama hiyo na huwa nazipokea mara nyingi. Huwa wanatuma tuu kwa namba nyingi inatokea bahati mbaya mmoja au wawili wanajaa kwenye mfumo.
Kwanza utatumaje pesa bila kuwasiliana kwa maongezi na mhusika?
May be uchawi hutumikaSamia
Shida inakuja mbona wanatuma mara nyingi tar zilexile wapangaji wanatakiwa walipe??wanajuaje??n kama wanajua huyu anatakiwa tar flan..ndio maana hapo juu nkasema mwanzo niliwaza wamiliki wanashirikiana nao..badae ikanitokea ndipo nkaelewa kuna michezo mingine AMA UCHAWI UPO
. Sio uongo bro alijaa 18 hadi nkaanza kucheka leo tu ndo hajanitafuta yan mpaka ilifka kunitishia kwenda polis nkamwambia mimi mwenyewe n askari tena nkimwambia usiripoti kituo kidogo njoo mpaka sitaki shari nipo huko ofisi flani ntakusaidia mbona alikoma na kauli ya mwisho kwake nilisikia akisema "duh" na kupumua kama tube ya piki piki ilotoboka na akanyamaza kimya na kukata cmu had leo hajanitafta tena ila kabla ya kumwambia mim ni askar matus kama yote niliyapata. Na kama yumo humu jina la mpesa n ayubu mwikali akome na ajue wa kucheza naoMama....
.zakee kajaaa kwenye mfumoo hakujui hahaha