Naomba kuuliza yuko wapi Ruge wa CMG??

Naomba kuuliza yuko wapi Ruge wa CMG??

Wakoromije ni hatari sana, mwambie aende rukwa sumbawanga lyambalyamfipa kuna mzee mmoja anaitwa kapufi atamuelekeza kwa mzee mmoja yupo stalike, akifika stalike ataelekezwa kwenda mpanda mjini, akifika pale tatizo lake litakuwa limeisha baada ya siku mbili
Noma sana!
 
Sometimes I think Bashite is really trully POWERFULL.....

I see somethings being pulled one by one and wonder.....

Aiseee
 
Wakoromije ni hatari sana, mwambie aende rukwa sumbawanga lyambalyamfipa kuna mzee mmoja anaitwa kapufi atamuelekeza kwa mzee mmoja yupo stalike, akifika stalike ataelekezwa kwenda mpanda mjini, akifika pale tatizo lake litakuwa limeisha baada ya siku mbili
Aende Katavi then aende Stalike,je anaweza kuvuka mto wenye mamba?
 
Kuna wambea humu wanasema eti keshaungua na madawa yanadunda tu saivi
 
nko nae geto anapigwa na upepo wa feni, anawachek wachawi wake.
 
Mungu amsaidie kama kweli ni mgonjwa.
 
Back
Top Bottom