Mgumu classic
Member
- Dec 15, 2017
- 51
- 42
Eti kutumia sabuni au mafuta ya nazi Au ya mgando kama vilainishi wakati wa kujamiana kuna madhara Gani kiafya au maeneo husika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu KY inefanyiwa uchunguzi wa kutaalamu ni kama ute wa asili wa mwanamke, pia huhifafhiwa kwenye tube kuepusha maambukizi ya magonjwa.Eti kutumia sabuni au mafuta ya nazi Au ya mgando kama vilainishi wakati wa kujamiana kuna madhara Gani kiafya au maeneo husika?
Dada Sky vipi, umewahi kutumia bidhaa hiyo (KY) ni salama kwa Afya..?Mkuu KY inefanyiwa uchunguzi wa kutaalamu ni kama ute wa asili wa mwanamke, pua huhifafhiwa kwenye tube kuepusha maambukizi ya magonjwa.
KY hio si ndio ile ya wazee wa 0713Mkuu KY inefanyiwa uchunguzi wa kutaalamu ni kama ute wa asili wa mwanamke, pia huhifafhiwa kwenye tube kuepusha maambukizi ya magonjwa.
Hapo sasa unatafuta mengineDada Sky vipi, umewahi kutumia bidhaa hiyo (KY) ni salama kwa Afya..?
Haikutengenezwa kwa matumizi hayo, Mara nyingi wanawake wakiwa katika menopause wanakuwa wakavu na moja ya matumizi ya KY ni kuwafanya waendelee kufurahia kujamiiana.KY hio si ndio ile ya wazee wa 0713
Namaanisha side A mkuu Nlijarib na sabun Naona iko njema sanaMbona kule kuna vilainishi vinatoka vyenyewe.Au side B?
Kweli kabzaHaikutengenezwa kwa matumizi hayo, Mara nyingi wanawake wakiwa katika menopause wanakuwa wakavu na moja ya matumizi ya KY ni kuwafanya waendelee kufurahia kujamiiana.
Hapo sasa unatafuta mengine
Sawa lakn kuna wakat vnakauka kabsa kaka kutokana na msuguano..Mbona kule kuna vilainishi vinatoka vyenyewe.Au side B?
Ila lubricant inakata stimu usiombe anyway Simba akizidiwa hula nyasiHaikutengenezwa kwa matumizi hayo, Mara nyingi wanawake wakiwa katika menopause wanakuwa wakavu na moja ya matumizi ya KY ni kuwafanya waendelee kufurahia kujamiiana.