Naomba kuuliza

Naomba kuuliza

Mgumu classic

Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
51
Reaction score
42
Eti kutumia sabuni au mafuta ya nazi Au ya mgando kama vilainishi wakati wa kujamiana kuna madhara Gani kiafya au maeneo husika?
 
Mkuu KY inefanyiwa uchunguzi wa kutaalamu ni kama ute wa asili wa mwanamke, pia huhifafhiwa kwenye tube kuepusha maambukizi ya magonjwa.
 
KY hio si ndio ile ya wazee wa 0713
 
KY hio si ndio ile ya wazee wa 0713
Haikutengenezwa kwa matumizi hayo, Mara nyingi wanawake wakiwa katika menopause wanakuwa wakavu na moja ya matumizi ya KY ni kuwafanya waendelee kufurahia kujamiiana.
 
Ila lubricant inakata stimu usiombe anyway Simba akizidiwa hula nyasi
 
Njia rahisi ya kienyeji kata bamia ondoka mbegu zake paka uume fanya shughuli yako wengine hawajui K-Y jelly
 
Sabuni? Unapiga nyeto nini mzee baba.. Hahaha, tumia mate tu, ila kama side B ya mtiani tumia ky.
 
Back
Top Bottom