W wilyhad patrick New Member Joined Dec 28, 2018 Posts 1 Reaction score 0 Dec 31, 2018 #1 Ninatatizo la kukatika pumzi wakati nacheka na mwili huwa unakosa nguvu ghafla daktari kaniambia ni litakua ni kwa sababu ya mapigo ya moyo madogo. Naomba kupata ufafanuzi kutoka kwenu wataalamu Sent using Jamii Forums mobile app
Ninatatizo la kukatika pumzi wakati nacheka na mwili huwa unakosa nguvu ghafla daktari kaniambia ni litakua ni kwa sababu ya mapigo ya moyo madogo. Naomba kupata ufafanuzi kutoka kwenu wataalamu Sent using Jamii Forums mobile app
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Jan 5, 2019 #2 Huyo dokta alikuambia tu juu juu au alikupima kwanza? Sent using Jamii Forums mobile app