wilyhad patrick
New Member
- Dec 28, 2018
- 1
- 0
Ninatatizo la kukatika pumzi wakati nacheka na mwili huwa unakosa nguvu ghafla daktari kaniambia ni litakua ni kwa sababu ya mapigo ya moyo madogo. Naomba kupata ufafanuzi kutoka kwenu wataalamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app