lukenza Senior Member Joined Apr 11, 2010 Posts 120 Reaction score 8 Aug 7, 2011 #1 Nimekuwa nikiona baadhi ya maneno humu JF kwenye post za watu lkn sijui maana yake hivi maneno kama "like" au "REP POWER" yana maana gani
Nimekuwa nikiona baadhi ya maneno humu JF kwenye post za watu lkn sijui maana yake hivi maneno kama "like" au "REP POWER" yana maana gani
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,730 Reaction score 9,088 Aug 7, 2011 #2 paw atakupa majibu, we Mtumie PM