Ivi watu wanao tafuta wachumba apa jf wanafanikiwa, na wanawapata wa dizaini ileile waliokua wanaitaji,au inakuaje kwawalio fanikiwa mpaka wakafunga ndoa ebu tujuzeni.
Kuna aliyefunga ndoa kwa kupata mtu humu? mimi naona matapeli wengi just be careful maana inawezekana ukapata applicaiton nyingi lakini kupata wa kuaminika ni tabu