Naomba kuuliza

Naomba kuuliza

KIMALIKE

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
46
Reaction score
4
Ivi watu wanao tafuta wachumba apa jf wanafanikiwa, na wanawapata wa dizaini ileile waliokua wanaitaji,au inakuaje kwawalio fanikiwa mpaka wakafunga ndoa ebu tujuzeni.
 
Kuna aliyefunga ndoa kwa kupata mtu humu? mimi naona matapeli wengi just be careful maana inawezekana ukapata applicaiton nyingi lakini kupata wa kuaminika ni tabu
 
Nilikuwa napita tu,ngoja wahusika waje,nadhan watakupa jibu la kueleweka.
 
Back
Top Bottom