Naomba kuuliza?

Naomba kuuliza?

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2010
Posts
2,415
Reaction score
398
Nina windows XP ambayo natumia ku-install kwenye PC yangu ambayo intel 32bit processor. sasa nimenunua computer nyingine ambayo proccessor yake ni AMD 64bit mobile. Je naweza kutumia hiyo windows XP ku-install kweye hii processor?

Msaada wenu tafadhali!
 
Mkuu, OS ya 32bit ni tofauti na 64bit. Utabidi utafute XP x64 Edition.

Kama ni Win 7, basi lazima iwe x64 Edition. Ila, DVD nyingine za Win 7 zinakuwa packed na version zote mbili, 32 na x64.
 
For the sake of experience and practical try it alafu uje utupe jibu kaka?
 
Itafanya kazi. Mie inafanya kazi kwenye laptop na kwenye PC ya jamaa yangu.

Ukishafanya installation, ingia kwenye Internet na ibadilishe system nzima na kuweka XP Service Park 3.

Ngoma itakwenda tu bila matatizo. Nafikiri wanapoandika wanakuwa wanafikiria na kesi kama hii.

Sema kama una 64 na system ni 32, basi utakuwa huitumii CP yako uwezo wake wote.
 
Mkuu, OS ya 32bit ni tofauti na 64bit. Utabidi utafute XP x64 Edition.

Kama ni Win 7, basi lazima iwe x64 Edition.
Si kweli. 64-bit hardware inaweza ku handle 32-bit operating system.

Tatizo lingekuwepo iwapo processor ingekuwa 32-bit na OS ndio 64-bit.

soma zaidi

the majority of the 32-bit operating systems and applications are able to run smoothly on the 64-bit hardware.
 
Nashukuruni sana kwa maoni yenu... Je nikiweka hiyo OS 32bit drivers za LAN,wireless, vga si itanibidi ni download za 32... Ngoja ni install then nitawapa jibu.... Mbarikiwe sana wakuu.
 
Back
Top Bottom