Naomba kuwajua viongozi wa mbio za mwenge tangu 1961

Naomba kuwajua viongozi wa mbio za mwenge tangu 1961

Sp Mnaku

Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
20
Reaction score
0
Habarini wakuu.

Naomba kujuzwa majina ya viongozi waliokimbiza mwenge kitaifa tangu tupate uhuru.

Natanguliza shukrani.
 
Nenda makumbusho ya taifa utawasoma wote na utaona na picha zao.
 
Hapa tunajadili mambo ya msingi. Hapa zinaletwa mada ambazo zitaibua mgongano wa kimawazo!

Hivi ukishayapata hayo majina then tunaishia hapo au utaanzisha ujinga mwingine??

Ucha utoto


unaonekana we ndo mtoto .nimeleta hii mada kwa lengo muhimu ninalolifahammu na ndio maana nimetumia neno NAOMBA KUJUZWA kama unaona huwezi kwenda na mada/kutoa msaada pita hiv
 
RC wa Tanga wa sasa hivi
Mbunge Gama
Guninita
Tambwe Hiza....huyu sina uhakika.
 
Back
Top Bottom