Naomba kuwajua washindi wa World Robotic Challenge 2022

Naomba kuwajua washindi wa World Robotic Challenge 2022

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu

Mwaka jana mwezi wa 10 kulikuwa na shindano la dunia la Robotic Challenge kule Geneva, Swetzerland na Tanzania ilipatata medali ya fedha. Wanafunzi kutoka shule ya ya ST. Theresa (sijui ni mkoa gani) walitengeneza robot la kukamata hewa ukaa (carbon dioxide). Nimejaribu kuangalia mitandaoni nione capacity ya hiyo robot sikuona chochochote.

Waziri mkuu wetu alikutana na hawa vijana kwa hiyo natumaini humu kuna mtu watu wanaweza kuwa na habari zaidi kuhusu uvumbuzi huu. Tushirikishane tafadhali
 
Back
Top Bottom