Naomba kwa anae fahamu jinsi ya kutongoza anifunze kwa sababu nateswa na mrembo mmoja

Naomba kwa anae fahamu jinsi ya kutongoza anifunze kwa sababu nateswa na mrembo mmoja

Kingkorlar

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2018
Posts
875
Reaction score
995
Habari ndugu
Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza mimi ni kijana wa miaka 18 ila tangu nizaliwe sijawahi kumtongoza binti wa lika lolote lile ila juzi nilijaribu kwa binti mmoja jina....... nalihfadhi sijui kama nilikua sawa au nilikosea mambo yalikua kama ifuatavyo

Me...mambo!

Binti...saf mzima?

Me...mzima unaelekea wap?

Binti...church

Me...church unaenda kuswali?

Binti...naenda kuimba kwaya.

Me...kumbe na wewe unaimbaga kwaya?

Binti...yah!

Me...ukitoka kuimba kwaya utapita hapa nyumbani?

Binti...kufanya nin?

Me...nikulale?

Binti...ushindwe ktk jina la Yesu

Jamani vp itakua nilikua sawa au nimepotea naombe ushauri na maufundi
 
Siku 1 ikiiruka 8,njoo tukufundishe,yaani iwe 81.

Cha msingi ni kwamba
255753974899_status_d14b83def1cc4aa2adcd6f7f08f5c364.jpeg
 
Hey girl
Hey
My name is ..........
Sas hapa itabidi uangalie hali ya hewa ukiona anjajibu vizuri we endelea kijinadi ila ukiona anakuangalia Kama huyu paka wangu akikosaga msosi then.....unapotea
 
Write your reply...
mpelekee namba babake analyse kila kitu atamaliza yeye
 
Back
Top Bottom