Naomba kwa Mungu ifikapo mwisho wa mwaka huu niwe naye!

Naomba kwa Mungu ifikapo mwisho wa mwaka huu niwe naye!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nimechoka ukapela!Wakati umefika sasa,walengwa jf members only!
 
hivi bado siku ngapi huu mwaka uishe?
 
Nilham maanake nikotopata unaye mridhia au nimekujibu tofauti na swali lako?
 
Same here nadhani muda umefika lakini hii issue taishughulikia 2011/2012
 
Nimechoka ukapela!Wakati umefika sasa,walengwa jf members only!
Labda ubadili avatar yako kinadada humu wanakuogopa tukisema ukweli, mwanangu akikataa kulala tunamwonyesha picha yako analala mara moja.
 
Nilham.Tegemea Mariaroza kuchelewa kujibu Merry Christmas uliyomtakia.Leo yuko busy anafungua maboksi yenye zawadi tele toka kwa baba na mama Santa Claus.ha
 
Back
Top Bottom