Naomba kwa Mungu ifikapo mwisho wa mwaka huu niwe naye!

Naomba kwa Mungu ifikapo mwisho wa mwaka huu niwe naye!

ndio naona kimyaaaa na kila ninapopita hayupo... sijui kajificha wapi????
Nilham.Tegemea Mariaroza kuchelewa kujibu Merry Christmas uliyomtakia.Leo yuko busy anafungua maboksi yenye zawadi tele toka kwa baba na mama Santa Claus.ha
 
ina maana JF ina mabachala wengi hivi, au wazinguaji tu?
 
labda tuweke hivi

wakike single
1.
2.
3.

wakiume single
1. Kakakiiza
2. Zipuwawa
3.


inaweza ikasaidia katika matching.....
 
Back
Top Bottom