Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla Kariakoo

Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla Kariakoo

Wewe nenda leo original na huku legend viatu hivi 25 kila kimoja ni 16 tu
Boss ni mwenyeji wa kariakoo , nahitaji sehemu wanapouza raba kwa jumla , katoni nazijua sehemu kadhaa ila kuna viatu
IMG-20241129-WA0111.jpg
IMG-20241129-WA0184.jpg
IMG-20241129-WA0187.jpg

20241129_104359.jpg
 
Back
Top Bottom