kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,651
- 6,966
Mpunga sifahamu.Sawa Mkuu mbolea gani nzuri ya kukuzia kwenye mazao kama Mpunga Au maharage
Maharage jamaa yangu alikuwa anatumia hizo hizo.(labda nikuulizie anazitumiaje)
Kikubwa usizidishe, ukizidisha mimiea inakuwa very green na imechanua sana matokeo yake mauwa yanakuwa ni machache na chakula kinachotengenezwa hakiendi kwenye matunda ili yawe makubwa, badala yake kinatumika na mmea kwa ujumla.