Mpunga sifahamu.Sawa Mkuu mbolea gani nzuri ya kukuzia kwenye mazao kama Mpunga Au maharage
OkTanga Mkuu
Sawa Mkuu Hapo nimepata somoMpunga sifahamu.
Maharage jamaa yangu alikuwa anatumia hizo hizo.(labda nikuulizie anazitumiaje)
Kikubwa usizidishe, ukizidisha mimiea inakuwa very green na imechanua sana matokeo yake mauwa yanakuwa ni machache na chakula kinachotengenezwa hakiendi kwenye matunda ili yawe makubwa, badala yake kinatumika na mmea kwa ujumla.
Uko mkoa Gani , wilaya na Kijiji gan umelimiaKweli aisee nimetest kulima maharage msimu huu kitaalamu ndo nimetoka kuplilia nahitaji booster nzuri nipige nione matokeo najitahidi kutoa update najipanga vizuri msimu ujao
Niko Tanga KorogweUko mkoa Gani , wilaya na Kijiji gan umelimia
Ooooh okay Hapo umenifahamisha vizuriKitu inafanya hiyo super gro ni kuslow down process ya early maturity Kwa mimea na kuyapa greenish color tu majani ila usije jindaganya kutoweka mbolea muhimu Kwa hiyo mimea hii inafaa Kwa kilimo Cha kipindi Cha kiangazi