Naomba link ya LATRA niweze kutengeneza control number ya kulipia bajaji.

Naomba link ya LATRA niweze kutengeneza control number ya kulipia bajaji.

Foxhunters

Senior Member
Joined
Nov 25, 2019
Posts
160
Reaction score
108
Kichwa cha uzi kinajieleza.naomba kwa mwenye uelewa anisaidie
 
Kama unaweza kutengeneza control namba haina haja ya kuomba link.
 
Utapata tabu sana kupata hiyo link!! Mamlaka nyingi za Serikali linapokuja swala la IT, hawapo vizuri. Ni kama kuna uhaba wa wataalamu au waliopo hawapo compitent.
 
Back
Top Bottom