Foxhunters Senior Member Joined Nov 25, 2019 Posts 160 Reaction score 108 Jul 13, 2024 #1 Kichwa cha uzi kinajieleza.naomba kwa mwenye uelewa anisaidie
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,063 Reaction score 12,866 Jul 13, 2024 #2 Kama unaweza kutengeneza control namba haina haja ya kuomba link.
t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,035 Reaction score 16,705 Jul 13, 2024 #3 Utapata tabu sana kupata hiyo link!! Mamlaka nyingi za Serikali linapokuja swala la IT, hawapo vizuri. Ni kama kuna uhaba wa wataalamu au waliopo hawapo compitent.
Utapata tabu sana kupata hiyo link!! Mamlaka nyingi za Serikali linapokuja swala la IT, hawapo vizuri. Ni kama kuna uhaba wa wataalamu au waliopo hawapo compitent.