Naomba list ya watu maarufu mashabiki wa Yanga

KARIBU MAWAZIRI WAKUU WOTE WAMEKUWA SIMBA NADHANI KASORO KAWAWA TU KUANZIA WARIOBA MSUYA, SUMAYE LOWASSA NA HATA ZITTO KABWE ILIHALI MARAIS WOTE KASORO MWINYI WAMEKUWA NI YANGA MKAPA NYERERE KIKWETE ILA HUYU WA SASA HASOMEKI
 
Mkapa? Hapana Mkapa mbona ilikuwa inadaiwa ni Simba.
Huyu wa sasa waliwahi kusema kuwa ni Simba wa 'mbaaaaali' lkn baada ya hapo hapo ikadaiwa tena kuwa ni Yanga. Kweli hasomeki kwenye mambo ya ushabiki wa timu hizi
 
Nyerere, Mkapa na Kikwete ni YANGA...sina uhakika wa Mwinyi na MAGUFULI
 
wadau naombeni list nzuri.. watu maarufu wanayanga wenzangu nahitaji kuwajua
 
watu kama wanabahatisha bahatisha tu... tuwajue wana yanga ambao ni maarufu watakao kuwa busy taifa kwenye kombe la shirikisho kushangilia
 
Naomba niwataje mashabiki wa Simba SC.

1.Yule mbunge maarufu aliyetoa wazo kuhusu Askari Monument.

2.Na yule mbunge aliyesema Bangi Iruhusiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…