Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
YANGA WA KUTUPWA HAO WAKO RADHI WASHINDIE MACHUNGWA TUAli kiba na Jo kidoti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YANGA WA KUTUPWA HAO WAKO RADHI WASHINDIE MACHUNGWA TUAli kiba na Jo kidoti
KARIBU MAWAZIRI WAKUU WOTE WAMEKUWA SIMBA NADHANI KASORO KAWAWA TU KUANZIA WARIOBA MSUYA, SUMAYE LOWASSA NA HATA ZITTO KABWE ILIHALI MARAIS WOTE KASORO MWINYI WAMEKUWA NI YANGA MKAPA NYERERE KIKWETE ILA HUYU WA SASA HASOMEKI
Mkapa? Hapana Mkapa mbona ilikuwa inadaiwa ni Simba.
Huyu wa sasa waliwahi kusema kuwa ni Simba wa 'mbaaaaali' lkn baada ya hapo hapo ikadaiwa tena kuwa ni Yanga. Kweli hasomeki kwenye mambo ya ushabiki wa timu hizi

KITWANGA, ANNA KILANGO, OMBENI SEFUE
Kumwembe ni Yanga yule!Hivi Kumwembe na Charles Hilary vipi?