Inakuwaje?
Shaktar Donetsk inaongoza sasa hivi goli 1 bila dhidi ya Madrid na wabane hivo hivo hadi kipenga cha mwisho halafu baadaye Inter iichape moncheglabad ya Ujerumani itakuwa safi sana.
Matokeo ya Madrid na shatkar Donetsk yakiendelea hivi basi wote watakuwa na point 7. Moncheglabad ana point nane Inter ikishinda itapanda hadi point 5.
Sasa wote watakuwa na nafasi ya kusonga mbele second round Uefa championship yani watabakia na mechei za mwisho moja itakuwa kama fainali.
Naiombea sana Intermilan kwasababu ya kocha Conte, Lukaku na Ashley young.
=================
UPDATE
Inter Milan imeshinda. Timu zote kwenye hili group la B wanaweza kuvuka second round ya Uefa championship.