Naomba maelekezo juu ya kilimo Cha tangawizi

Naomba maelekezo juu ya kilimo Cha tangawizi

1Afica54

Senior Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
115
Reaction score
68
Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu
Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi
1,hali ya hewani
2,aina nzuri ya mbegu
3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri
4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa
5,jinsi ya kuvuna na uhifadhi wake na inachukua mda gani tangawizi kukaa store
6, mwisho 🙏 soko la tangawizi lipoje bei na msimu mzuri wa tangawizi
pexels-photo-1337585.jpeg
 
Back
Top Bottom