GABRIEL LAZARO
Member
- Mar 28, 2017
- 21
- 12
Mimi nafanya kazi hotelini lakini natamani sana kwa sasa niache hii kazi nikafungue kazi zangu ndogondogo, ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga,endelea kutumwa na wahindi maana inaonekana haujui unachotaka.Mimi nafanya kazi hotelini lakini natamani sana kwa sasa niache hii kazi nikafungue kazi zangu ndogondogo, ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaacha ofisi gani boss nije kuomba?
Sisi ndo wataalamu,,una pesa ngapi ili tukupe ushauri kulingana na pesa uliyonayo?Mimi nafanya kazi hotelini lakini natamani sana kwa sasa niache hii kazi nikafungue kazi zangu ndogondogo, ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Mr IBUNakushauli kabla ujaacha kama utakuwa na muda anza hizo kazi ndogondogo ukiona muelekeo acha kazi ingia moja kwa moja kwenye hizo kazi zako..
Au kama hautakuwa na muda basi izo kazi zako ndogondogo uwe na uwakika nazo ukiwa unaacha kazi unaanza hizo kazi zako.
Ila kama unasubili uache kazi ndio ufikilie cha kufanya sikushauli uache kazi..maana kuna mambo mengisana,utakuja shangaa mtaji wote umekula na kazi zako hazija anza.