Naomba maelekezo namna ya kuanza kujiandaa kuacha ajira niliyonayo na kuanza kujiajiri mwenyewe

Wewe fuata moyo wako tu bro unavyotaka, kama umejipanga furesh karibu mtaani.

ila naomba kupata iyo nafasi kama wewe utaacha.
 
Nakushauli kabla ujaacha kama utakuwa na muda anza hizo kazi ndogondogo ukiona muelekeo acha kazi ingia moja kwa moja kwenye hizo kazi zako..
Au kama hautakuwa na muda basi izo kazi zako ndogondogo uwe na uwakika nazo ukiwa unaacha kazi unaanza hizo kazi zako.
Ila kama unasubili uache kazi ndio ufikilie cha kufanya sikushauli uache kazi..maana kuna mambo mengisana,utakuja shangaa mtaji wote umekula na kazi zako hazija anza.
 
Ahsante Mr IBU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom