Naomba maelezo jinsi ya kupokea bidhaa kutoka ebay

Naomba maelezo jinsi ya kupokea bidhaa kutoka ebay

mtumiaji

Senior Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
112
Reaction score
32
wakuu humu jamvini
naomba mnisaidie.
mimi nipo Tanga na nataka ninunue bidhaa ebay.
je nitaletewa kwa njia ya posta katika adress ninayoandika ya hapa tanga au mpaka dar?
na je nitajuaje kama natakiwa kulipia hicho kitu kodi?
wakuu msaada.
natanguliza shukrani.
 
Inategemea ni aina gani ya kitu!

Vitu vingi vinavyouzwa online huwa hawatumi Address za kwetu huku...Why? Ni kwa sababu Ebay, same as Amazon ni online shopping amabayo inatumiwa na watu binafsi, makampuni nk...japokuwa kuna vitu wanavyouza wao mwenyewe direct!

Unaponunua unaweza kuuliza au ukapata info palepale kuwa bidhaa inatumwa na ebay/amazon au hiyo store iliyouza bidhaa! Once payment made wahusika (wauzaji), watakujulisha instantly kuwa wamepokea malipo na utaelekezwa utaraytibu wa kupokea bidhaa yako na muda wa kuipokea!

WANAWEZA KUTUMA TANZANIA?
Ndio, inawezekana, hakikisha unaweka full address, eouka hizi P.O Box....Kama ni anuani ya Ofisi hakikisha unaweka full address, location, street, Block number etc..hii inasaidia mzigo ukifika Posta/DHL etc inakuwa rahisi kukutumia! Anuani lazima iwe inayoeleweka...Kwa mfano ukiandoika P.O Box 1111 Tanga...wanaweza kuwa namashaka ya kuufikisha

KODI?
Inategemea ni aina gani ya mzigo na thamani yake. Nakushauri unaponunua chagua wakuwekee gift certificate na uwajuze wahusika ni zawadi....
 
wakuu humu jamvini
naomba mnisaidie.
mimi nipo Tanga na nataka ninunue bidhaa ebay.
je nitaletewa kwa njia ya posta katika adress ninayoandika ya hapa tanga au mpaka dar?
na je nitajuaje kama natakiwa kulipia hicho kitu kodi?
wakuu msaada.
natanguliza shukrani.

Nimetoka kupokea head phones nimenunua ebay,niliwelekeza physical address yangu,wakaleta.
 
Back
Top Bottom