Naomba Maelezo Kuhusu Mikopo ya USTA Financial Agency Ltd

Naomba Maelezo Kuhusu Mikopo ya USTA Financial Agency Ltd

Madiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
426
Reaction score
252
USTA Financial Agency Ltd wanatoa mkopo kwa dhamana ya magari.
Kuna mwana-Forum yoyote anajua kuhusu kampuni hii na hiyo mikopo ya dhamana ya magari??
Huwa naona matangazo yao kwenye magazeti ya hapa Tz ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom